Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Naomba nianze kwa kutoa credit kwa member wa humu jamii forum aliyeandika hiyo title. Kwa kweli imenigusa sana mpaka nikashawishika kuitengenezea mada tofauti.
Ebu jiulize ni wangapi wameweza...
TAMKO LA VIJANA WA ROMBO WAISHIO DAR ES SALAAM (VIWARO-DAR)
Umoja wa vijana wa Rombo waishio Dar es salaam, Ni chama Huru cha vijana waliotokea wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro ambao wanaishi...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Habari wakuu , kuweka record sawa ni kuwa haya hapa chini ni malengo yangu ya mwaka 2023 ikionyesha MAKADILIO ya kipato , MATUMIZI,na MALENGO yangu dhumuni kuu likiwa kuweka kumbukumbu binafsi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.