Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu...
0 Reactions
10 Replies
181 Views
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara Kuna mahali nilikua na kakibanda...
8 Reactions
41 Replies
680 Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni kuwa...
2 Reactions
4 Replies
6 Views
I hope mpo poa wakubwa👍. Nilikuwa nauliza kwa mtu anaejua full stack web development mshahara wake huwa ni shilingi ngapi? Au akiwa kama freelancer anaingiza amount gani average?
0 Reactions
6 Replies
58 Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
7 Reactions
70 Replies
1K Views
Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wamama wazima Sehemu: Rainbow mbezi beach Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia wanarudi...
0 Reactions
7 Replies
91 Views
Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X Mrema amesema Sheria za...
6 Reactions
85 Replies
1K Views
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus...
25 Reactions
988 Replies
35K Views
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini. Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
1 Reactions
70 Replies
2K Views
MAMBO HAYA USIMWAMBIE MWANAUE WAKO, HATA KWA KISU SHINGONI:- Idadi ya wanaume uliojamiiana nao kabla ya kuoana na mume wako: Hupaswi kumfahamisha mpenzi wako wa kiume au mume wako ni wanaume...
0 Reactions
4 Replies
8 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,922
Posts
49,845,574
Back
Top Bottom