Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
Ajali ya ndege Malawi, makamu wa rais Saulos Chilima na maofisa 9 wasakwa tangu saa 3...
Kino Yves, Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali, kwa Adrica alianzia Misri, Sudani, Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na sasa yupo kwetu
kaelezea vizuri historia ya Tanzania mwanzoni...
Waumini wengi wa zinazoitwa dini mbili kubwa za Tanzania kuna mambo kadhaa inabidi mbadilike kuendana na mabadiliko ya wakati.
1. Kusalimia kila mtu "salameleko"
Sijawahi kuelewa sababu za baadhi...
Wasalaam hizi namba 0696447569 0695263962, 0742696669,0683374286, 0696447567, 0719249958. Ni watu wanaodai wao ni wakusanyaji madeni wa hizi online financial services ambazo zinatoa huduma za...
Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo
Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18
Habari madaktari wetu!
Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes)
Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki. Je ni kweli?
au...
Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CDM, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais...
Ndugu Wanajamvi,
Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.