Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo ambao wanawasaidia watateule Israel kuwapa taarifa za kijasusi Mossad na Shin Bet Tiss ya Israel. Kupitia hao waarabu waislam wapalestina wazalendo...
0 Reactions
1 Replies
7 Views
Kuna mambo Yako wazi kabisa na hauwezi kumlaumu Rais yoyote wa JMT kwa sababu Katiba imetoa Mwanya Rais wa JMT ni sawa kabisa na Mfalme ndio sababu first Born wa Rais wa awamu fulani humu...
1 Reactions
3 Replies
24 Views
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
3 Reactions
57 Replies
1K Views
WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
8 Reactions
61 Replies
371 Views
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa. Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
23 Reactions
75 Replies
1K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake...
2 Reactions
37 Replies
797 Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram...
7 Reactions
121 Replies
2K Views
Tetesi zinasema kuwa club ya simba imemuweka sokoni mwenyekiti wake mangungu.
0 Reactions
3 Replies
5 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
42 Reactions
308 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,701
Posts
49,838,350
Back
Top Bottom