Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwanza ni wape pole kwa kazi kubwa mnayoifanya ,viongozi wangu wa manispaa ya Temeke.Ninaimani kubwa na nyinyi ,hasa katika kuwaletea maendeleo wana temeke wote. Pili,niipongeze manispaa ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom masaki Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI? 🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa...
4 Reactions
11 Replies
432 Views
Hivi majuzi tulikusanya orodha ya Nchi 20 Bora zenye Mfumo Bora wa Elimu Duniani na katika makala haya, tutaangalia nchi inayoongoza kwa mfumo bora wa elimu duniani. Mitindo ya Elimu Ulimwenguni...
2 Reactions
9 Replies
166 Views
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza. Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri. Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limesema Sikukuu ya Eid el Adh’haa itakuwa Jumatatu Juni 17 na swala yake itaswaliwa katika msikiti wa Mohamed VI uliopo makao makuu ya baraza hilo...
2 Reactions
11 Replies
258 Views
Tunayo furaha kuwataarifu kwamba sasa tunasafirisha mizigo kutoka China kuja Tanzania kwa ufanisi mkubwa na kasi ya ajabu. Huduma yetu ya usafirishaji kwa njia ya ndege inahakikisha kwamba mzigo...
3 Reactions
12 Replies
126 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la...
26 Reactions
241 Replies
15K Views
Imekuwa ni dhahiri kwamba wanasimba wengi hawana elimu ya hizi bilioni 20 na hivyo wana kila haki ya kuzihoji zilipo sababu hawana elimu, Mjinga ni mtu anaebisha sababu hajui hivyo inahitaji...
2 Reactions
21 Replies
177 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,689
Posts
49,837,898
Back
Top Bottom