Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka
Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue .
Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani...
Habari za mchana wanajf,
Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku...
Mathayo 24:9-14
9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
10 Ndipo wengi watakapojikwaa, nao...
Habari wana JF poleni na majukumu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi...
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi...
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe.
Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
Wakala wa Usajili, Udhamini na Ufilisi nchini Rita umebaini ubadhirifu wa tsh billion 1 Msikiti wa Ijumaa Mwanza na hatua za kisheria zimeshaanza kuchukuliwa
Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu...
Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.