Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe...
Habari wanaJF, Natanguliza shukrani.
Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C...
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana...
Inakuaje Jf;
Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana moja kiungo Cha mwanamke...
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali.
Wenye sura personal...
Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni...
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
Habari za mchana wakuu, natumai hamjambo kabisa na mnaendelea katika harakati za kusaka mkate na kwa wale wanaugua Mungu awaponye kwa uwezo wake tuseme Amin !!
Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.