Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake.
Kutokana na uelewa, experience na...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubari zaidi
1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders ...
Don't Marry because of SEX
Don't Marry because u are getting OLD
Don't Marry because u are of AGE
Don't Marry because u are LONELY
Don't Marry because u need someone to support you FINANCIALLY...
Kunguru ni ndege mwenye sifa za kipekee sana. Mmoja kati ya ndege anayejulikana sana duniani. Je, unafahamu nini au umewahi kusikia jambo gani kumhusu ndege huyu? Ngoja tumpe maua yake.
1...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.