Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Mods wamefuta thread kuhusu Tetesi za kisiwa cha mafia kuuzwa Rudisheni hiyo thread nani kawapigia simu muufute?
Tetesi inabidi itungwe kwa Hoja pamoja na kukanusha katika forum ya "SI KWELI"...
Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
Ukatili wa kijinsia na mauaji ya wanawake ni tatizo kubwa na linaloenea sana nchini Afrika Kusini. Katika jamii za mijini na vijijini, wanawake na watoto wanakumbwa na ukatili kila siku kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.