Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni...
Nimeshitushwa sana na tetesi za binti Gonzalez kuhamia Yanga na imenipa maswali fikirishi ambayo yamenifanya NALIA NGWENA nije kushea na wajuzi jamvini.
1/ je vile vijembe Babra Gonzalez kule...
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu.
Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
Hii ni akaunti ya twitter ya mh. Lema. Anapata wapi ujasili wa kuwaita hawa wa mama wasagaji
Tanzania Leaks
@TanzaniaLeaks
·
Jun 7
BREAKING: Ni swala la aibu kubwa sana kwa Rais kutumia vibaya...
MAENEO YA BAHARI YANAYOHIFADHIWA NA MPRU
Hivi sasa, kuna Maeneo Tengefu ya Bahari 18 ambayo yanadhibitiwa na Serikali ya Tanzania kupitia Kitengo cha Hifadhi za Bahari. Maeneo haya ni pamoja na...
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza.
Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
Natokea kanda ya ziwa ambayo ni asili yangu,jinsia ni mwanaume niko na familia (mke na watoto). Nawashkru wazi walinilea inavyopaswa na kuna kipindi niliwachukia kwa adhabu walizokuwa wananipa...
NUKUU
“Nimepata taarifa kuwa kisiwa chetu cha Mafia kilichopo Tanganyika kinapigwa bei (kinauzwa). Naomba tuendelee kufuatilia na kupiga kelele,”… Dokta Willibrod Slaa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.