Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat".
Ni tumaini langu wote ni wazima.
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye.
Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Story hii ya CPA
CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
Mjumbe wa Bodi ya Simba SC CPA ISSA MASOUD akiongea na Waandishi wa habari Jana, amekiri kwamba shilingi bil.20 alizoahidi mwekezaji Mohamed Dewij "Mo" hazijawahi kuwekwa popote Bali aligeuza...
Wazungu, Waarabu, na Viongozi wa Asia hawapendi Phd za heshima? Mbona hawapewi? wana makosa gani? wanakwama wapi?
Ukifuatilia hizi Phd za Heshima utagundua zinatolewa kwa viongozi wa Africa tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.