Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
2 Reactions
66 Replies
859 Views
Na Thadei Ole Mushi Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya Mbunge. Twende sawa hapa. 1. Mbunge hulipwa mshahara...
37 Reactions
67 Replies
7K Views
Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu. Inapelekea Makonda hata akifanya kitu...
6 Reactions
23 Replies
392 Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
9 Reactions
398 Replies
7K Views
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika. Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa...
3 Reactions
20 Replies
289 Views
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda. Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini. Ujumbe wake huu hapa ---...
13 Reactions
64 Replies
2K Views
Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao Source Jambo TV Yajayo yanafurahisha😀...
3 Reactions
103 Replies
3K Views
Mko salama wapendwa? imekuwa kitambo sana jamani leo nikasema nimepata kaupenyo kidogo wacha niwajulie hali😉😉 Nimewakumbuka sana marafiki wangu wa JF😍 Nikipata tena upenyo nitakuja kuleta uzi wa...
28 Reactions
108 Replies
775 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,064
Posts
49,737,220
Back
Top Bottom