Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio...
4 Reactions
47 Replies
699 Views
Habari wakuu, hapa price itashuka au itaendelea kwenda juu, I have made my own analysis but I just wanna here what do you see hii ni USDCAD, na ni 1H time frame!
0 Reactions
5 Replies
106 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
NAOMBA KUJUA KILICHOENDELEAAAA BAADA YA MH WAZIRI WETU MPENDWA WA ARDHI JERRY SILAA KUSEMA KUNA JAJI ANASAPOTI HAWA WAHUNI KUSHINDA KESI WANAPOIBA ARDHI ZA WATU JE MPAKA SASA TUME YA MAADILI...
1 Reactions
22 Replies
171 Views
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe. Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu. Niwakumbushe...
3 Reactions
64 Replies
2K Views
Hivi kwanini wanawake siku za ibada hasa jumapili, wanaifanya kama ni siku ya fasheni na kujionyesha kwenye kujipamba na mavazi tofauti na makusudi ya imani. Kuna wanawake bila nguo mpya anaona...
7 Reactions
31 Replies
350 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
5 Reactions
157 Replies
2K Views
Salaam shalom!! Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
15 Reactions
106 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum Natumai mu wazima Tafadhali naomba kuuliza mwenye chimbo la mifuko ya 20kg /25kg kama ya azania/azam ambayo inakua rejected lakini mizima ambayo haijatoboka inawezakua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,527
Posts
49,833,238
Back
Top Bottom