Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
NUKUU
“Nimepata taarifa kuwa kisiwa chetu cha Mafia kilichopo Tanganyika kinapigwa bei (kinauzwa). Naomba tuendelee kufuatilia na kupiga kelele,”… Dokta Willibrod Slaa...
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja.
Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemuagiza mkuu wa Usalama barabarani mkoani Arusha kutokamata magari ya Watalii na badala yake ukaguzi ufanyike mipakani na kwenye viwanja vya Ndege
Source...
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo.
Yani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.