Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa...
27 Reactions
191 Replies
3K Views
  • Sticky
  • Suggestion
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA โ€œSTORIES OF CHANGEโ€ JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
19 Reactions
46 Replies
5K Views
Wakuu habari za mda huu, naomba kufahamu TCAA mtu wa Diploma of aviation aweza kulipwa kiasi gani na jinsi wanavyofanya kazi, maana nimeona nafasi sehemu. ASANTENI.
4 Reactions
49 Replies
688 Views
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu...
76 Reactions
944 Replies
73K Views
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
9 Reactions
108 Replies
695 Views
Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule. Wengine wamevamiwa walipokuwa...
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini...
15 Reactions
75 Replies
1K Views
๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri...
6 Reactions
13 Replies
277 Views
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
5 Reactions
20 Replies
539 Views
Wanaume wengi huwa wana vimada nnje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nnje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashe vizuri ndio kuwatuliza Lakini tunaambiwa kati ya...
6 Reactions
20 Replies
609 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,663
Posts
49,752,351
Back
Top Bottom