Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za wakati huu ndugu zanguni....... Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo........wakitangaza kupitia gari ndogo....maarufu kama "KIRIKUU" Kwa...
2 Reactions
15 Replies
113 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
15 Reactions
58 Replies
999 Views
Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe...
7 Reactions
43 Replies
672 Views
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa...
3 Reactions
36 Replies
512 Views
BINTI YANGU NJOO NIKUAMBIE HAPA. Mithali 20:7 [7]Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake wabarikiwa baada yake. Haki katika ndoa yako ambayo Mungu amekupa hakikisha unaishi katika...
10 Reactions
31 Replies
149 Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
26 Reactions
136 Replies
3K Views
Salaam shalom!! Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
6 Reactions
40 Replies
309 Views
Watoto wanaonyesha umahiri mkubwa sana juu ya walichojifunza mashuleni Academic improvement kwa watoto wetu imeimarika sana na inatia moyo mno... Uelewa na ufahamu wa watoto wetu katika kusoma...
1 Reactions
2 Replies
21 Views
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa...
16 Reactions
53 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,311
Posts
49,825,929
Back
Top Bottom