Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi...
28 Reactions
183 Replies
6K Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
2 Reactions
54 Replies
176 Views
Nina maumivu Sana moyoni juu ya ninayoyaona hapa kimara hebu tazama
3 Reactions
12 Replies
400 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Takwimu zinaonyesha taifa la Japan (kizazi cha waJapan) kinaenda kufutika kabisa ndani ya miaka 100 ijayo. Hii inatokana na kiwango kidogo zaidi kuwahi kushuhudiwa cha uzazi huko Japan, ambapo...
0 Reactions
11 Replies
175 Views
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, ndugu Lucas Mwashambwa, Sio bure kazi unazozifanya za kukichafua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo zinaonyesha kabisa wewe ni mtu ambaye umetumwa na...
8 Reactions
25 Replies
161 Views
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu...
8 Reactions
67 Replies
641 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
9 Reactions
156 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,242
Posts
49,823,830
Back
Top Bottom