Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda. Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini. Ujumbe wake huu hapa ---...
9 Reactions
35 Replies
607 Views
Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu...
5 Reactions
14 Replies
262 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
140K Views
Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA. Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa. Kwa minajili hiyo kwa sasa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Wote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe...
11 Reactions
146 Replies
9K Views
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical...
0 Reactions
12 Replies
149 Views
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J -...
5 Reactions
46 Replies
569 Views
Kumekuwa na hali ya kucheleweshewa kupata hela kwa ambao wamebahitika kufadhiliwa na wizara ya afya kwenye kusomea ubingwa na uzamili. Hii imeripotiwa na wanafunzi wa chuo fulani haswa cha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,051
Posts
49,736,657
Back
Top Bottom