Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
3 Reactions
42 Replies
241 Views
Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
18 Reactions
188 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
9 Reactions
170 Replies
835 Views
Leo nimekaa nimetafakari sana bila kupata jibu, Samahani kwa Tafakuri yangu kama nitaudhi imani za watu wengine basi naombeni mnisamehe sana. "Waungwana mbona Wazungu wao wanahistoria nzuri sana...
6 Reactions
25 Replies
609 Views
Yaani hapo upo single halafu wapangaji wengine waliobaki wameoa. Na hivi ndio visa vya wake zao. Je, utahama au utavumilia?
5 Reactions
21 Replies
493 Views
Wote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe...
11 Reactions
147 Replies
9K Views
Taja!!!!!! Note: Acha kuigiliza wenzako tafadhali
3 Reactions
95 Replies
978 Views
Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya...
1 Reactions
33 Replies
215 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,052
Posts
49,736,680
Back
Top Bottom