Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi...
4 Reactions
20 Replies
142 Views
Hivi professor Adolf mkenda na wizara yako ya elimu mmeona waTanzania ni wajinga sana? Do you really think we are going to buy that childish trick of yours'? Hivi mpaka lini mtaendelea kunyanyasa...
0 Reactions
3 Replies
145 Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b)...
33 Reactions
177 Replies
4K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni...
25 Reactions
155 Replies
10K Views
Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
9 Reactions
37 Replies
463 Views
Kwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na...
7 Reactions
105 Replies
2K Views
Bila shaka, David Mosher aliamini kuwa mchumba wake, Heather, angepona tatizo alilokuwa akipambana nalo, kansa ya titi. Ndiyo maana alimwahidi kumwoa pindi atakapopona. Lakini ilipogundulika kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza. Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
2 Reactions
14 Replies
156 Views
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi. ======= Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu zangu, NATUMAINI MUWAZIMA WA AFYA. Msaada kidogo. Naombeni mwenye video ya Nako 2 nako HAWATUWEZI ft Enika. YouTube kwa sasa haipatikani,Mwenye nayo labda anayo hata kwa...
1 Reactions
15 Replies
254 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,368
Posts
49,827,836
Back
Top Bottom