Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata.
Mfano:
Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa...
Ufike wakati makampuni ya Ving'amuzi wafanye utafiti kwenye biashara zao, kwanini watazamaji wa Televisheni wanapungua?
Huwa najiuliza mbona baadhi ya makampuni yanayotoa huduma za Internet...
Habari wakuu?
Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua...
Wakuu kwema?
Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa...
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b)...
Wakuu samahani
Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina
Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na...
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.