Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Babangu ana miaka 59, lkn wazazi wake wote wametangulia mbele za haki. Je, ni yatima?
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
22 Reactions
60 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa mwenye vituko zaidi na mtafuta Kiki zaidi Tangu kuundwa kwa Cheo hicho Nchini Tanzania na Wakoloni, Bwana Paulo Makonda(zamani Daudi Bashite), amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela...
9 Reactions
33 Replies
501 Views
Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010. Mwanamke huyo amedai...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi...
10 Reactions
19 Replies
478 Views
Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
3 Reactions
36 Replies
190 Views
Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
18 Reactions
183 Replies
2K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
5 Reactions
49 Replies
411 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,051
Posts
49,736,657
Back
Top Bottom