Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii...
Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao
Source Jambo TV
Yajayo yanafurahisha😀...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD...
Mtoto wangu Ana miezi Saba juzi mama ake amenambia hajawahi kumuona alisimamisha uume
Ilinichanganya Sana akili ilibidi nijipe mda nkakaa nae Kama masaa mawili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika.
Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa...
Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya.
Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua...
Tuliwambia humu Yemen hakuna Taifa duniani linamuweza mkabisha, mkawa mnacheka wengine wakawa wanawacheka eti ni masikini kuliko hata Tanzania.
Leo hi America kakimbia Red Sea kakiri wazi Yemen...
Kufuatia kuwepo kwa tukio la mtoto wakiume (3) kulawitiwa Jijini Arusha, mama mzazi wa mtendewa amedai kuwa kutokana na hali ya mtoto kuwa mbaya ameanza kumfunga mtoto huyo mikono kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.