Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
14 Reactions
56 Replies
449 Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. ipo siku nitampatia huu ujumbe live...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
18 Reactions
193 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
9 Reactions
173 Replies
857 Views
Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi...
28 Reactions
161 Replies
13K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
3 Reactions
48 Replies
270 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
22 Reactions
64 Replies
1K Views
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
16 Reactions
130 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,055
Posts
49,736,809
Back
Top Bottom