Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu" Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za...
1 Reactions
69 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
8 Reactions
109 Replies
4K Views
Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
3 Reactions
21 Replies
466 Views
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi. Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
15 Reactions
55 Replies
409 Views
#Updates Usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2024, Malisa amefikishwa Moshi Mjini, na Jeshi la Polisi limempeleka moja kwa moja Ofisi ya RCO. Taarifa kutoka CHADEMA zinaeleza kuwa Wakili Peter...
1 Reactions
14 Replies
708 Views
MOHAMMED KAWAIDA: CCM HAIWEZI KUYUMBA, WATU WAMEONA INAFAA KUENDELEA KUPEWA KUONGOZA SERIKALI "Katika siasa tulizonazo za ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi hatujamuona Mwanasiasa mkongwe mwenye...
0 Reactions
1 Replies
17 Views
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar...
10 Reactions
63 Replies
2K Views
Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA...
4 Reactions
35 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,083
Posts
49,818,898
Back
Top Bottom