Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
54 Reactions
137 Replies
4K Views
Hapo zamani za kale katika Nchi ya Mashariki ya mbali, Nchi iliyobarikiwa mito, maziwa, ardhi kubwa na yenye rutuba, Palitokea Malkia mmoja aliyefahamika kwa jina la Sama. Malkia huyu alipenda...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
18 Reactions
100 Replies
1K Views
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
10 Reactions
96 Replies
2K Views
Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo. Ni kwamba ule...
14 Reactions
224 Replies
9K Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi. How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
40 Reactions
341 Replies
17K Views
Kama sio mhanga wa hii kadhia basi moja wa ndugu au rafiki yako atakuwa amekutana nayo .Kumekuwa na utapeli unaoshika kasi hasa mtandao wa facebook . Matapeli wanaweza kuingia kwenye account yako...
0 Reactions
15 Replies
191 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
6 Reactions
70 Replies
1K Views
Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko.Nenda sokoni kanunuwe mboga,mihogo utapewa mfuko wa plastiki,chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
1 Reactions
10 Replies
230 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,050
Posts
49,818,045
Back
Top Bottom