Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
106 Reactions
135 Replies
4K Views
Mazingira yanayowapa kipaumbele wanawake - Marekani / Ulaya mwanamke anatukuzwa sana, Huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni kesi ni domestic violence, Mnaweza kulewa wote...
0 Reactions
12 Replies
241 Views
Heri ya mwaka wandugu. Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada. Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba...
49 Reactions
469 Replies
41K Views
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili, Kwa mfano...
2 Reactions
26 Replies
361 Views
Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa...
8 Reactions
80 Replies
6K Views
Habari WanaJamiiForums Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi. Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini...
12 Reactions
106 Replies
2K Views
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili. Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
3 Reactions
100 Replies
2K Views
One blow only and there goes the terrorist
9 Reactions
96 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,037
Posts
49,817,752
Back
Top Bottom