Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu.
Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa...
Ufisadi umeshamiri. Mawaziri wa Serikali ya awamu wametajirika. Taarifa ya CAG inasisitiza UFUSAFI wa kutisha na hasara za mashirika na taasisi za umma
Serikali ya Rais John Pombe Magufuli...
Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa...
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo: Sqm 135.73
Nyaraka: Ina leseni ya makazi.
Bei: Milioni 75
Karibu...
NIELEWE KWA MAKINI SANA.
Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu
"Gari...
Waziri wa Mawasiliano, Nae Nnauye ametoa kauli ambayo kwangu naona inashida aidha kwake kwenye kuitambua mawasiliano au digitali kwa ujumla. Bajeti ya Wizara ya mawasiliano ya mwaka wa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.