Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ya asubuhi. Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
14 Reactions
66 Replies
966 Views
Maisha ni nyumba guys, na kabla ujenge lazima uwe na kiwanja. Hata usipoishi huko we jenga pangisha na uwe urithi kwa watoto baadaye. Ft. 60x50, kipo mbande, mwenyewe anashida anamgonjwa so...
3 Reactions
22 Replies
247 Views
Mnaosikliza redio vipi wale vijana B 12 na Adam Mchomvu wamefit pale kwenye kipind cha jahazi au wameleta ujana wao wa XXL?
0 Reactions
7 Replies
447 Views
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao. Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule? Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
19 Reactions
85 Replies
3K Views
Mwanasiasa wa upanzani nchini Rwanda Diane Rwigara ametupwa nje ya kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo. Kulingana na Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda...
1 Reactions
11 Replies
582 Views
Inakuwaje wanaJamiiForums Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k. Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
5 Reactions
39 Replies
558 Views
Kwanza kabla ya kuanza story...nitoe big up kwa IBRAH THE HUSTLER wa ukoo flan Mau Mau. Moja ya mabroo wenye roho nzuri sana..nje ya maisha ya mziki. Nitoe big up pia kwa home boi mwenye roho ya...
62 Reactions
557 Replies
50K Views
Mtu anayeteuwa marehemu atakuwa kasaini mikataba mingapi bila kuisoma? Maana Kila mahali anazunguka na kusaini mikataba je Inatusaidia Nini sisi kama watanzania maana hadi Leo Kuna shule wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. ---
20 Reactions
185 Replies
15K Views
Position: Graphics Designer (2) Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated to...
1 Reactions
4 Replies
836 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,006
Posts
49,816,891
Back
Top Bottom