Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
0 Reactions
3 Replies
4 Views
KAZI ANAZOFANYA MAKONDA, WAZALENDO TUWE TUKIMUOMBEA SANA, Kila nikitazama ujasli na weredi wa Mh Paul Makonda napata faraja kubwa sana, nimefurahishwa na kauli yake akisema hatoyumbishwa, wahuni...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri. Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni...
0 Reactions
3 Replies
127 Views
Mambo vipi wazee? Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba. Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji...
41 Reactions
72 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Bojour wazeeee.......!!!! Watu wengine makomwe sana..... Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi...
22 Reactions
100 Replies
1K Views
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu. Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi...
5 Reactions
12 Replies
68 Views
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni...
19 Reactions
230 Replies
5K Views
Katika mahojiano na CNN alisema alipokuwa akifanya uchunguzi wa kuanzisha kesi dhidi ya Netanyahu, kuna kiongozi alimwendea na kumwambia waziwazi; "mahakama hii imeundwa kwa ajili ya Afrika na...
1 Reactions
11 Replies
374 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,848
Posts
49,730,546
Back
Top Bottom