Wasalaam,
Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.
Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
Wadada mnaodate na wababa age 35s na kuendelea Tena wenye watoto nawapeni pongezi sana. Mi nilikuwa najua ukiwa na 20s ukidate na wababa umri kama huo ni afadhali, unafanya kazi ya kuelekezwa tu...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
Habari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini...
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.