Sehemu kubwa ya Takataka ya Pasifiki ni mkusanyiko wa uchafu wa baharini katika Bahari ya Pasifiki ya Kaskazini. Uchafu wa baharini ni takataka ambayo huishia kwenye bahari. Kipande Kikubwa cha...
Tanzania tuna jambo la kujifunza namna ya kuibana serikali iachane na kodi kandamizi zinazopelekea maisha kuwa magumu.
Baadhi ya maeneo ambayo kenya wamekuwa wakali ni kodi kwenye mafuta ya kula...
Kuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho.
Dada lao ameamua kumchallenge Paul Kagame mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
Serikali ya Cuba imethibitisha uwepo wa nyambizi tatu za nyuklia Nchi humo hii inafuatia kauli ya Rais dhaifu wa Marekani Joe Biden kutaka Ukraine ishambulie Russia kwa silaha za Marekani...
Wadau,
Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki.
Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata...
Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni.
BEI ZA LOGO
80K= Logo+B Card+Letter head...
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.