Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa!
Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene Try...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka nuda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.
Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
---
Jeshi la...
Kwema wakuu, jana katika pitapita zangu nimekutana na mdada flan mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufka maskan nikamchk tumechat jana na leo nikajarbu kutupia ndoano imo sasa...
Hii ni historia ya maisha aliyopitia David tangu 2007 alipopata changamoto na namna alivyopambana mpaka kufika alipofika leo hii. Stori hii David anasema ina nia ya kuwapa nguvu wote ambao leo hii...
Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika...
Kwako Binti na Mwana wa Afrika.
Elimu za Dunia zinafundisha watu, kuenenda kwa akili/kutumia akili zaidi.
Elimu za kiroho zinahimiza Unyenyekevu/kuenenda kiroho/kutumia uwezo wa ndani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.