Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo.
Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi.
Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni...
BEFORE I GO TO SLEEP.
Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua.
Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani...
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa...
Pamoja na Zanzibar kuwa kivutio kupanda boti kwenda Zanzibar ni kama unaelekea porini. Hapo passenger terminal ni uchafu mtupu. Watu wanauza mpaka mayai ya kukaanga. Ukifika Zanzibar kwenye...
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.
Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
Najua ni ngumu/haiwezekani kubadili taratibu au mambo fulani za kiimani japo unaweza kukuta yanakukera.
Maana kuna mambo mengi tumeyakuta yakifanywa na watangulizi wetu na sisi tumekuzwa ktk hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.