Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao...
1 Reactions
4 Replies
208 Views
Watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla wanaarifiwa kuwa Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa Tarehe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
This goes without say. Hata humu ndani ya jumuiya yetu ya jamii forum utagundua udhahifu mkubwa sana kwenye suala la namna tunavyojenga hoja, au kujibu hoja, au kutetea hoja. Suala la kujiuliza ni...
1 Reactions
17 Replies
335 Views
Kuna Rais Barani Afrika anataka Kuniteua, hivyo ninataka kujua kati ya hivi Vyeo viwili kipi Kitanifaa na kipi Kitanishusha?
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Serikali ya Cuba imethibitisha uwepo wa nyambizi tatu za nyuklia Nchi humo hii inafuatia kauli ya Rais dhaifu wa Marekani Joe Biden kutaka Ukraine ishambulie Russia kwa silaha za Marekani...
6 Reactions
39 Replies
730 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
332 Replies
36K Views
Halafu ogopa sana Mwanasiasa akijifanya Anakupenda kwani huenda akawa anataka kukuleta Karibu yake ili akusome, akujue, ajiridhishe kwa anayoyasikia na akutumie kwa Maslahi yake kisha akishajua...
3 Reactions
6 Replies
29 Views
Wakati unalala ukiwa umewasha feni ama ac hii ndio hali halisi ya Makete
3 Reactions
17 Replies
374 Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
30 Reactions
260 Replies
13K Views
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
16 Reactions
124 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,939
Posts
49,815,327
Back
Top Bottom