Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwema wadau. kama mada inavyojieleza, leo nikiwa natoka mishemishe naelekea home nikakutana huyu dada akaniita nikaenda kumsikiliza kuja pale ndo ananiambia kaniota ndotoni nampelekea moto wakati...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
1 Reactions
10 Replies
61 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi. Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni...
4 Reactions
16 Replies
210 Views
BEFORE I GO TO SLEEP. Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua. Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani...
1 Reactions
6 Replies
100 Views
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London. Benki ya NMB imetanua wigo wa...
39 Reactions
207 Replies
3K Views
Pamoja na Zanzibar kuwa kivutio kupanda boti kwenda Zanzibar ni kama unaelekea porini. Hapo passenger terminal ni uchafu mtupu. Watu wanauza mpaka mayai ya kukaanga. Ukifika Zanzibar kwenye...
0 Reactions
3 Replies
64 Views
Bayern leverkusen leo ayakanyaga Apigwa 3-0 Mpaka muda huu Vipi atapiga comeback tena?
0 Reactions
16 Replies
490 Views
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
1 Reactions
15 Replies
115 Views
Najua ni ngumu/haiwezekani kubadili taratibu au mambo fulani za kiimani japo unaweza kukuta yanakukera. Maana kuna mambo mengi tumeyakuta yakifanywa na watangulizi wetu na sisi tumekuzwa ktk hayo...
3 Reactions
16 Replies
113 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,407
Posts
49,690,057
Back
Top Bottom