Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
30 Reactions
109 Replies
2K Views
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
33 Reactions
96 Replies
2K Views
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
21 Reactions
147 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Habari yako mhe. Tundu Lisu? Nina imani huko ulipo umzima wa afya wewe na familia yako, hivyo wengi ndio furaha yetu sisi tunaopenda kuona kila binadam yuko salama, mzima na mwenye afya njema...
0 Reactions
20 Replies
275 Views
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. ---...
8 Reactions
123 Replies
3K Views
Nimecheka sana kuhusu huu ujumbe na mimi nikaona niusambaze kwenu
0 Reactions
1 Replies
2 Views
DALILI 5 ZA MTOTO ANAYE CHUKULIWA NA WACHAWI USIKU. 1 ANAHUSISHA MATUKIO YA USIKU NA MCHANA Utasikia akisema jana tulikwenda shamba usiku na watu wengi wamevaa nguo nyeusi. Alikuja akaniamsha...
4 Reactions
17 Replies
378 Views
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini...
7 Reactions
31 Replies
570 Views
Naomben kuuliza kama kichwa cha habar kinavyo jieleza hapo juu Nimekua napenda kunywa chai kila muda ninapo kula chakula iwe mchana au usiku . Naitaji kila nikila chakula basi nakikombe chachai...
0 Reactions
4 Replies
16 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,699
Posts
49,809,484
Back
Top Bottom