Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mishangazi mingine inanyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda ya kaskazini. Kwanza wa bahili kutoa pesa,na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli. Imagine unyonye...
8 Reactions
7 Replies
8 Views
Tunaomba Serikali yetu sikivu iangalie hili janga la Vipodozi Haramu vinavyouzwa kama njugu hapa Matui na bwana moja anayejieta ni Agent wa Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa, huyu mtu...
0 Reactions
3 Replies
7 Views
Kumekua na Tabia za watu, Baadhi ya Maeneo hasa Miji mikubwa hapa Tanzania. Watu kufanya mazoezi Barabarani. Kundi la watu kufanya mazoezi ya kukimbia na kuleta msongamano wa magari, Kwa mtazamo...
1 Reactions
2 Replies
25 Views
Tumeendelea kufuatilia ili kujua sababu hasa ya Bwana Malissa kukamatwa tena leo na kwamba eti ana kesi mpya huko Kilimanjaro. Katika machache tuliyoyapata ni kuhusika kwa Adolf Mkenda...
4 Reactions
11 Replies
287 Views
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu...
7 Reactions
52 Replies
843 Views
Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake. "Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa...
0 Reactions
10 Replies
56 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
15 Reactions
201 Replies
6K Views
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa! Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale...
3 Reactions
15 Replies
196 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,771
Posts
49,810,972
Back
Top Bottom