Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu salama, Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka. Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu...
4 Reactions
34 Replies
162 Views
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA, Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe, Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao 1. Zitto Zuberi...
0 Reactions
6 Replies
89 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
2 Reactions
16 Replies
491 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
21 Reactions
217 Replies
3K Views
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
17 Reactions
165 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
2 Reactions
25 Replies
272 Views
Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika...
4 Reactions
13 Replies
346 Views
Faida za kwenda advanced???
7 Reactions
58 Replies
788 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,359
Posts
49,799,616
Back
Top Bottom