Nawakumbusha:
Unaponunua gari daima ni bora kwenda kwa muuzaji na kununua gari jipya kabisa. Lakini ikiwa hutaweza kununua gari mpya kabisa, basi upate moja bila wamiliki wengi wa zamani, mara tu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
Kuna maumivu ya aina 2 ambayo yanadumu milele kwenye ulingo wa mapenzi.
1. Mwanaume akijua watu wanamla mke wake.
2. Mwanamke ambaye amefanywa kuwa single mother.
Wakuu nimepita sehemu nikaikuta hii meme ambayo ilitengenezwa na Wataalam iki mnukuu aliyekuwa mtabiri na msoma nyota mashuhuri Afrika Mashariki na kati marehemu Sheikh Yahya Hussein, vipi huyu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu nimekutana na taarifa hii inatahadharisha wanawake wajawzito kunyw maji baridi wakati wa uja uzito. Taarifa inaonya kwamba jambo hili ni hatari kwa afya.
Upi ukweli wa jambo hili?
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
Unadhani kutokana na kuwepo kwa changamoto ya masoko kwa bidhaa pamoja na mazao kwa wakulima Tanzania nini linaweza kuwa suluhisho ukiachana kuilaaumu serikali je unaona vijana wana nafasi gani hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.