Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
Nina Tsh. 800,000 kama akiba imekaa tu, kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua sasa wakuu nimebaki na hii Tsh. 800,000 nahitaji kuizalisha nifanye nini kwa hiki kidogo nilicho...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi...
Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana. Kuna...
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.