Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
ILIANZA nikiwatembelea wazazi na mjomba wangu wazee huko Jacksonville, Florida. Hii ilikuwa muda mfupi kabla ya mjomba wangu kufariki miezi michache iliyopita. Kama kawaida, tulienda kwenye...
Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame...
Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga...
Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo"
lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC...
Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa...
Ndugu zangu watanzania,
Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.