Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya...
Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu.
Bibi mwenye umri wa miaka 63, Cheryl na Mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26...
TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni...
Habari ya jioni wakuu natafuta kazi ya bolt/ tax nipo kigamboni wakuu au kama Kuna mtu kapaki gari yake ndogo niwe namletea hesabu,,hata kama una ipaki weekend tusaidiane mm nipo kigamboni,,namba...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.