Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu, Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
15 Reactions
155 Replies
7K Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
10 Reactions
361 Replies
4K Views
"If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”
10 Reactions
62 Replies
443 Views
👉WAISLAMU 🕌husema UKRISTO ni DINI ya UONGO✔️ 👉WAKRISTO ⛪husema UISLAMU ni DINI ya UONGO.✔️ SASA MIMI NAKUBALIANA NA WOTE KWAMBA UISLAMU🕌 na UKRISTO⛪ Ni DINI za UONGO✅ Watu wengi ukiwauliza...
0 Reactions
4 Replies
63 Views
Pamoja na yote yanayo semwa juu ya CHADEMA bado Peter Msigwa ni mnufaika kinara wa CHADEMA Jimbo la Iringa ( T ) Huenda Mch Peter Msingwa ndio mwanasiasa toka Upinzani atakayetangazwa mapema...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Nipo mapumziko mkoani Tabora wakuu, tetemeko ndio kwanza limemalizika kupita hapa mkoani Tabora. Vipi huko kwenu hali ipoje, na hakuna madhara..? Pia soma Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi...
2 Reactions
16 Replies
192 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
6 Reactions
82 Replies
523 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,430
Posts
49,802,094
Back
Top Bottom