Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu bara club ya Young Africans, wamepata mwaliko maalum kutoka kwa Waziri wa Utamaduni sanaa na michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Bungeni Jijini Dodoma tarehe 23...
0 Reactions
2 Replies
7 Views
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
16 Reactions
139 Replies
3K Views
MPYA KATIKA MJI "SKY ROYAL" Pata uzoefu wa jiji la kifahari la SEAVIEW (muonekano wa bahari) linaloishi katika mradi wetu maridadi wa kisasa uliopo MIKOCHENI, eneo letu kuu linatoa upatikanaji...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao? Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
4 Reactions
15 Replies
53 Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
19 Reactions
230 Replies
5K Views
Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji. Hii ni kutokana na siasa...
3 Reactions
30 Replies
341 Views
moods wote qummmmmmmme zen wajinga nyie mnapenda nyuzi zangono tuu malaya nyie zakuelimisha hamzitaki mbwanyie nipigeni ban nihame vizuri
0 Reactions
7 Replies
8 Views
“Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.” “Tangu nimekuwa msemaji wa timu...
1 Reactions
11 Replies
152 Views
Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kale kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,311
Posts
49,687,583
Back
Top Bottom