Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
19 Reactions
69 Replies
3K Views
Hata Mbunge Jon Ndugai Spika wa zamani nadhani anashangaa namna Demokrasia ndani ya Chadema imekomaa kiasi cha kuvumiliana kwenye mawazo na hoja binafsi. Jambo ambalo kwake yeye binafsi...
6 Reactions
30 Replies
311 Views
Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi. Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio cha togwa! Kiwanda cha...
14 Reactions
46 Replies
1K Views
Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
4 Reactions
68 Replies
2K Views
Nionyeshe tajiri ambae njia zake hazijaunga kwa shetani, Nikupe hii..... bure. Aliniambia huku kanikazia macho. Muonekano wake haukuakisi uwezo wake hata kidogo. Shuka nayo...
1 Reactions
15 Replies
550 Views
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57 Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji...
8 Reactions
517 Replies
53K Views
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi Ng’wanakilala. Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.
48 Reactions
253 Replies
43K Views
Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana...
1 Reactions
17 Replies
99 Views
Binafsi naona selikali itumie njia ya recruiting vijana wakio pata elimu aidha kwa ngazi ya diploma ama degree wanaopatikana katika familia zinazo fadhiliwa na mfuko wa TASAF ili kuondoa dhana ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,425
Posts
49,802,013
Back
Top Bottom