Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni...
James Mbowe amesema Demokrasia ya Chadema ni kubwa sana ndio sababu mchungaji Msigwa ameweza kuwaita Waandishi wa Habari na kuwashutumu viongozi wenzake bila kuwa na ushahidi wowote
Mbowe amesema...
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma
Prof. Makubi anachukua nafasi ya Dkt. Alphonce B. Chandika ambaye amemaliza...
Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM.
Siku unadharaulika mbele ya...
Ukiwa unauza Kiwanja, Nyumba, Gari ama pikipiki n.k ndani ya Jiji la Dodoma
Basi usisite kunitafuta ili tutafute wateja kama una bidhaa pia nitumie kwenye namba hizi
CALL AND WASAP 0785076070...
kuna taasisi imetangaza nafasi ya ajira. ssalary scale yao ni PTSS 10.1. sasa nataka kufahamu ni sh ngapi kabla sjaachia hii job niliyonayo isjekuwa hakuna utofauti na hapa nilipo. msaada tafadhali
Benki ya 'Access Microfinance Bank Tanzania (AMBT)' yenye makao makuu yake nchini Nigeria imeuzwa kwa kampuni ya kitanzania ya Selcom kama mwanahisa mkubwa zaidi na sasa itajulikana kama 'Selcom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.