Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Habari wakuu, Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika. Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Watanzania, kama wanavyojua wengi ukweli ni kwamba hii janja janja ya wazungu na wa Asia ya kumpa PhD za Bure Ndugu yenu wameshamjua udhaifu wake na hivyo wanacheza na akili yake. Mambo yaleyale...
6 Reactions
20 Replies
177 Views
Group limeundwa na watu wa dawasa wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi. Mh Waziri anahangaika huku na kule lkn wadawasa wachache wanafanya masihala na maisha ya wananchi. .Rais...
1 Reactions
11 Replies
113 Views
Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla. Leo naongoe na...
8 Reactions
17 Replies
134 Views
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka, nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X inayomilikiwa na singularity Company kama inavyooneka hapo chini.
3 Reactions
40 Replies
606 Views
Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo. 1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri...
1 Reactions
13 Replies
79 Views
Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na...
3 Reactions
12 Replies
577 Views
Faida za kwenda advanced???
6 Reactions
38 Replies
515 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,260
Posts
49,796,748
Back
Top Bottom