Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo...
1. You know, gentleman, there is hell and there is another place below the hell.
2. If your tired, do it tired
3. I dont pay for suits; my suit are on the house or the house burn down?
4. Everyone...
Kwa viwango hivyo vipya, thamani ya Elon Musk imepanda hadi dola bilioni 210.7, huku Bernard Arnault akishikilia nafasi ya pili akiwa na dola bilioni 201, na Jeff Bezos yuko katika nafasi ya tatu...
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT.
Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuanzia sasa hadi Januari 1, 2025 atakuwa amekamilisha kazi ya kuwanyoosha watumishi wa umma wasiokuwa wazalendo na wanaotanguliza masilahi yao...
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.