Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea...
Ndinga Hilo
Gari ipo vizuri sana
Gari ya mwaka 2022.
PRICE/BEI: 122M
EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE✅
FORD RANGER STORM TRACK 🛻
Year:2022
Engine Capacity:2.0cc
Engine: DIESEL TURBO
Kilometer...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Mchungaji peter Msigwa ameendelea kutoa maneno mbalimbali yanayoonyesha kukosa kifua cha uongozi pamoja na ukomavu wa kisiasa na uvumilivu.ndio maana siku zote nasemaga humu jukwaani kuwa ukiwa...
Salamu wakuu.
Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele.
Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za Mji...
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.
Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
UTANGULIZI
Kama ilivyo duniani kote, Serikali ni mfumo wa Mamlaka unaoongoza wananchi. Serikali zote duniani ndiyo huwa na Mamlaka ya nini kifanyike na nini kisifanyike nchi...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.